Unamjuaje mtu mwenye upendo wa dhati kwako??

Unamjuaje mtu mwenye upendo wa dhati kwako??

Mapenzi hayana fomula, anaweza kuonesha kukujali lakini akawa hana mapenzi na wewe....
 
Hakuna kipimo cha kweli cha mapenzi vipimo vyote ni feki.
 
Assalam ndugu wa JF

Kama heading inavyojieleza hapo juu
Unamjuaje mtu mwenye upendo wa dhati kwako??

Nawasilisha
Tafuta hela dogo,upendo wa dhati upo kwa wazazi wako tu,
Kama unatafuta upendo wa dhati kwa mwanamke au mwanamume,unapoteza muda,
Hao wanataka uwe nazo za kutosha njuruku
 
Mbaya ni pale unapopenda na mtu hakupendi zaidi ya mapicha picha ambayo atakuwa akikuonyesha.
 
Inahitaji muda wa kutosha kulitambua hili ila matendo ndio njia nzuri
Upendo upo ndani ya mtu unaweza onyeshwa pendo lililotukuka lakini moyoni mwake ana lake siku akipata anachokitafuta basi, hivyo muda tu hautoshi bali ni muhusika mwenyewe.

Hujambo lakini Davet
 
Mbaya ni pale unapopenda na mtu hakupendi zaidi ya mapicha picha ambayo atakuwa akikuonyesha.
Mapicha picha yepi ya kihindi au,? [emoji16][emoji23] Halafu wewe unakuwa busy naye hatari
 
Upendo upo ndani ya mtu unaweza onyeshwa pendo lililotukuka lakini moyoni mwake ana lake siku akipata anachokitafuta basi, hivyo muda tu hautoshi bali ni muhusika mwenyewe.

Hujambo lakini Davet
Hahah!..

Asante kwa somo zuri...

Mimi sijambo hofu kwako jamani
 
Back
Top Bottom