Unamjuaje mtu mwenye upendo wa dhati kwako??

Walaleykum salam ndugu yangu.

Kama mwenza wako,hakujali,hakuheshimu wala kukuthamini basi ujue upendo hapo hakuna, ila km vipo hivyo basi amini upendo upo.
 
Kwa mfano me nakuambia nakupenda sana OHB11 kila siku nakuambia nakupenda lakini sjawah kukupigia, sijawah kukutext yan had unianze wewe sijal kuhusu uwepo wako, sometimes unahitaj kunisikia saut uwe calm kutokana na maudhi uliyokutana nayo nakujib am busy piga baadae ukipiga sipokei kabisa ila ukiniuliza nakupenda nakujibu nakupenda

Umeona hapo kauli nyepesi zaidi kusema vitendo havilandani na kauli yangu

Au nakwambia nakupenda, nahakikisha unalala ukiwa okay, nakujali nakupa muda wangu efforts unaziona zinaendana kabisa na maneno hapa lazima useme kweli Madame S unanipenda

Mapenzi lazima yawe mutual ndio utafaidi, upate mtu sahihi ndio utafaidi zaidi,
Nimeielewa sana hii
 
Kama unampenda mtu, utamtakia unayojitakia wewe na nafsi yako.

Mfano kama nampenda Madame S ningependa awe na furaha kama mimi, ningemshauti ninapoona anapotoka arudi kwenye mstari ili mabaya yasimkute.

Kama unampenda mtu utamjali hisia zake, utajiepusha na kumkera ama kumfanya awe na majonzi.

Utamfichia aibu na siri zake na pia utashare furaha ya maisha yake ikiwemo mafanikio yake.

Anapokuwa yupo down, utamfariji na kumsaidia aone lile jambo ni kawaida na litapita.

Unaempenda daima utamuombea mema kama unavyojiombea wewe.

Sio mbaya ukimkuta anadundwa ukatembeza mitama ya nguvu pia.😛😛
Ahsante

Ila hapo kwenye kudundwa unaweza jikuta mitama inakurudia mwenyewe[emoji23]
 
Kwa mfano me nakuambia nakupenda sana OHB11 kila siku nakuambia nakupenda lakini sjawah kukupigia, sijawah kukutext yan had unianze wewe sijal kuhusu uwepo wako, sometimes unahitaj kunisikia saut uwe calm kutokana na maudhi uliyokutana nayo nakujib am busy piga baadae ukipiga sipokei kabisa ila ukiniuliza nakupenda nakujibu nakupenda

Umeona hapo kauli nyepesi zaidi kusema vitendo havilandani na kauli yangu

Au nakwambia nakupenda, nahakikisha unalala ukiwa okay, nakujali nakupa muda wangu efforts unaziona zinaendana kabisa na maneno hapa lazima useme kweli Madame S unanipenda

Mapenzi lazima yawe mutual ndio utafaidi, upate mtu sahihi ndio utafaidi zaidi,
[emoji134][emoji134][emoji17][emoji17]
 
Kama unampenda mtu, utamtakia unayojitakia wewe na nafsi yako.

Mfano kama nampenda Madame S ningependa awe na furaha kama mimi, ningemshauti ninapoona anapotoka arudi kwenye mstari ili mabaya yasimkute.

Kama unampenda mtu utamjali hisia zake, utajiepusha na kumkera ama kumfanya awe na majonzi.

Utamfichia aibu na siri zake na pia utashare furaha ya maisha yake ikiwemo mafanikio yake.

Anapokuwa yupo down, utamfariji na kumsaidia aone lile jambo ni kawaida na litapita.

Unaempenda daima utamuombea mema kama unavyojiombea wewe.

Sio mbaya ukimkuta anadundwa ukatembeza mitama ya nguvu pia.😛😛
hahaha hyo aya ya mwisho hiyo
 
Ako ka aya ka mwisho nimekapenda
 
Ila wee unashushaga nondo duh.
unaweza kuwa na asili ya kenya kama sio moshi.
 
I John 3:18 ...lets not LOVE in WORD only , or with the TONGUE only BUT in DEED AND TRUTH!!
 
Back
Top Bottom