Unamjua huyu??

Unamjua huyu??

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,578
Reaction score
28,699
Ni nani na ushwahi kumuona wapi???

attachment.php
 

Attachments

  • 1011146_210003389147441_982458572_n.jpg
    1011146_210003389147441_982458572_n.jpg
    19.3 KB · Views: 983
Ni nani na ushwahi kumuona wapi???

attachment.php

Huyu anaitwa mzee ASHANT kubwa la maadui katika movie za kihindi miaka ya 1990 wakati mimi naangalia movie za kihidi ame act movie kama vile TELL ME LIBNIA na nyingine nyingi sana
 
jamaa yuko gado, juzi kati nimeona movie yake mpya....
 
shakh kapoor..kitu kama hicho...alisha act movie kenya..inaintwa Vishwatma."aliongea na kiswahili,,"mimi kubwa sanaaaa"
 
Jamaa anaitwa Amrish Puri, kishafariki kitambo..movies zake zote alikuwa na roho mbaya mpaka watoto walikuwa wanamuogopa mtaani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom