Unamiliki nini katika Umri huu?

Uongo mtupu
 
Hutaki mke nipo hapa[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Inshomile noma mzee baba.. Umetisha [emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
 
Nina miaka 29 kazi naendesha tax namiliki kiwanja mwanza na ujenzi unaendelea kwa sasa nimepanga namiliki vitu vya ndani, nina mke na mtoto mmoja na ninamiliki millioni 8 bank bado nawaza nizifanyie mradi gani.
 
WEWE MWENYE NYUMBA TAYAR HONGERA

Mimi nina gari 1 ya kutembelea kwa sasa ila kuna jingine natarajia kununua nyumba haijakamilika bado, nimepanga nyumba nzima nalipa kodi mwenyewe laki 3 kwa mwezi nina simu 5 samsung galaxy s8 plus,nina iphone 7, vitochi viwili vya batani vya tecno, na nokia na pia nina tecno cammon Cx
FRIJI NINAYO LG, TV NINAZO MBILI SINGSUNG INCH 25 FLAT CHUMBANI, Sebuleni nimeweka StarX, dish nina azam na dstv, Vitanda vitatu 6Γ—6 , 5Γ—6 zipo mbili nina saloon 2, sebuleni nina sofa jikoni nina jiko la gas, na kubwa la kerosene, nina mpango pia wa kufungua duka la nguo za kiume za kimodeling zinazoenda na wakati
Yaani ndo hichi nilichojaaliwa na mungu mpaka sasa
 
weka picha mkuu
 
Nina miaka 23.

Namiliki grupu la whatsapp la PachuPachu, Msingi Kiuno, na ZaUchiZoteHapa.

Nina sabwufa limeharibika sehemu ya flash na pini ya waya imekatikia kwenye tundu.

Nasikia nilikabidhiwa viwanja kijijini kwetu ila sijawahi hata kuviona na kwenda kijijini sitaki.

Nina wanawake wanne wa kudumu na watatu ni occasional.

Sina chumba wala nyumba nalala kwa rafiki yangu Dilongele.

Nina elimu kidogo ya form six.

Pia nina nyege.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…