Unamfahamuje wife material?

Avue wigi
Atoe kope bandia
Anawe uso
Asuke mistari
Aseme nitakuja sio nitsakuja
Akibaki anavutia baada ya hapo napeleka kondoo ukweni.
 
Mmmh wife material!!!

nadhani huyu utamgundua kwa kumpima Kama amekaa kimaslahi zaidi, maana siku hizi unaweza ona unapendwa, anakujari kumbe yupo na mpango wake makakati kuufanikisha kupitia wewe.
sema kweli wengi now ni wana ekiti sana ni muhimu kuwachunguza
 
Habari wanabodi wa MMU,

Hivi ni kigezo gani wanaume wanakitumia kusema huyu mwanamke ni wife material?
Ningumu kumpata wife material because faithful girls ignores niggas.. acha tuendelee kusumbuana Na ivi vibinti kisirani vya mtaa tu .. imagine mtaa una madem 12 Kati yao mabinti wenye vigezo vyakuolewa Ni wa 3 tu na hao watatu adi wakupe namba mzee siyo leo na wakikupa adi ufikie kumuoa inabidi nawew uji edit kinoma muendane tabia kitu ambacho asilimia kubwa ya vijana hushindwa .. ndoa Ni pata potea .. enjoy your lifestyle f*c marriage over
 
Mimi vigezo vyangu Ni 2 tu

1 awe mrembo
2 asiwe na dharau

Kwakuwa asipokuwa na dharau anauwezo wakufundishika kwa mengine .. wote tuna madhaifu yanayo fanana tunatofautiana viwango tu na namna yaku deal nayo
 
kwenye ile milioni 7 na we ni mmoja wao mkuu?.
 
Mimi vigezo vyangu Ni 2 tu

1 awe mrembo
2 asiwe na dharau

Kwakuwa asipokuwa na dharau anauwezo wakufundishika kwa mengine .. wote tuna madhaifu yanayo fanana tunatofautiana viwango tu na namna yaku deal nayo
🤝🤝🤝🤝
 
 
MWENYE AKILI TIMAMU

Maaana akiwa na akiki timamu hawezi andika hivi txt zake

P badala ya poa
K badala ya oky
10x badala ya thanks
Xaxa badala ya sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…