Unamfahamu Mhindi anayevuma kwa sasa hapa Bongo

Hakuna mhindi mwenye kampuni ya betting hapa Tanzania..wanaoiendesha hapa aidha ni mawakala direct wa makampuni kutoka nje (ingawa wanaweza kuoperate under a different name) na wengine ni independent lakini kuna preset arrangement na makampuni ya nje ambapo hawa watz wanalipwa commission flani

Hesabu inayofanyika ni kuwa kama timu imepewa points say 1.68 huko ulaya basi muhindi anaipa 1.56 hapa kwetu..na inapotokea hiyo timu ikaleta matokeo yaliyobettiwa basi muhindi analipwa 1.68 x stake amount...then yeye anamlipa aliyewin 1.56 x stake amount na hivyo anabaki na faida ya 0.13 x stake amount
 
Umesomeka mkuu! Vipi ikitokea bet ikifeli, anakatwa au inakuwaje?
 
Una uhakika hii picha inahusiana na title uliyoandika?

Datta Phuge ana uhusiano gani na kampuni inayosimamia kamari ya michezoni?
 
Bet inapofeli yeye kwa kuwa anakuwa amefanya mauzo (amebetisha) kama kawaida basi atabaki na ile commission yake ya mauzo ambayo ni constant percentage + agreed operating expenses
 
Umesomeka mkuu! Vipi ikitokea bet ikifeli, anakatwa au inakuwaje?

na kiwastani wakala anakuwa na win-win situation..ingawa bets zikiwin ndo anapata zaidi kutokana na zile points anzopunguza, ingawa watu huwa tunadhani tunapompiga tunakuwa tumemuumiza..in reality anafaidi pale tunapowin sisi...zinapofeli ndo anaishia commissions
 
Una uhakika hii picha inahusiana na title uliyoandika?

Datta Phuge ana uhusiano gani na kampuni inayosimamia kamari ya michezoni?

Thanks Jf
 
Attachments

  • 1429116414984.jpg
    1429116414984.jpg
    39.7 KB · Views: 231
Back
Top Bottom