Unamfahamu Dr Paul Hamis Hussein ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unamfahamu Dr Paul Hamis Hussein ?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ogm12000, Dec 31, 2009.

 1. ogm12000

  ogm12000 JF-Expert Member

  #1
  Dec 31, 2009
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 311
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Huyu jamaa ni mtanzania nimekuta clips zake ktk eastafricantube vile vile clips zake nyingi zipo kwenye youtube. Kwa kweli huyu jamaa ni muongo sana. Yeye anaidai kuwa alikuwa muislam na kuslim lakini hizo issue ambazo anaeleza kuhusu uislam nyingi ni za uongo

  kuna wakati alisema hivi '' jiwe jeusi ni kitambaa cheusi kilichopo kwenye kaburi la mtume kule makka na watu uenda kuomba majini ya muhammad kwenye kaburi lake huko makka''

  Nilipatwa na hasira maana ni uongo mtupu..
  Mtume kazikwa madina, jiwe jeusi sio kitambaa.. sasa hizi kashfa ni kwa ajili gani?

  mara oh uislam ni dini ya majini..Yeye alikuwa mchawi . yani uchawi wake anauunganisha na uislam.

  Lengo la kuileta mada hii ni kwa wale waliopata kumsikiliza wachangie na waseme wanamtazamo gani kuhusu huyu ''muongo''
   
 2. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #2
  Dec 31, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
Loading...