Icon Special
JF-Expert Member
- Mar 14, 2019
- 257
- 230
- Thread starter
- #21
Much love to yah, Kama hujapata wa kukupendraaa na kukupetipeti we Ni Pm nikufuate ulipo aiseee, simple like that....... Kwa rangi na heina hata mm ntajitahidi nikuletee hizo make up za kucha, napenda wanaojielewa km wewI like being simple [emoji126]
Natural beauty[emoji9] ila kwenye kucha niache kidogo[emoji23] nazipenda mnoo zangu,kuziacha bila rangi au henna ni kitu ambacho ziwezi( Og nails)