Unamchukuliaje mwanamke wa aina hii ?

Binadamu hatuna wema wala kuridhika...

Angesema ukweli ungemuona muongo, amasema uongo ili uje... na game amekupa unaanza kuhoji hoji...


Cc: mahondaw
 
Wanawake wanachangamoto sana.wengine wanapenda ufanye nao sex mara moja kwa wiki....inategemea na maumbile pamoja na vichocheo vya miili yao;kama vipi vaa raba.
 
Baharia akiambiwa na demu wake naumwa response ni kumchukua na kumpeleka hospitali.
Sasa binti wa watu kajitahidi kakupa umepiga vyako kadhaa, umekuwa mwepesi, anakuambia hayuko vzr unashindwa kumpeleka japo dispensary kweli?


Fala sana ww baharia

Cc Unforgetable
 
Kuna usemi mmoja mzee wangu hupenda kuutumia " Don't send boys to do men's work". We mvulana uliyeanzisha thread vitu vingine uwe unatumia common sense then unakausha tu kuliko kuonyesha ujinga wako hadharani. Unashusha hadhi ya kiume bwege wewe.
 
Duuh wewe jamaa wewe. Nakomea apa.nonsense
 
Umepewa game zen after game ndo amekwambia anaumwa ndo unafungua uzi hapa ...
Sipati picha ungefika tu akwambie anaumwa na hasikupe game ingekuwaje .....
 
Kama wewe mwenyewe unaemfahamu umeshindwa kumuelewa sisi ambao hatumfahamu hatuwezi kumuelewa.
 
Hii kahawa ya mama klaree leo kanichanganyia na bangi au na nyie wenzangu hamjaelewa??

Maana wanawake kwa malimbwata hawajambo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…