Unamchukuliaje ex wako?

Ex ni nyumba ndogo nikijisikia napiga mzigo, haijalishi tuliachana vp hata kama tulishikiana visu kuna muda yataisha na mchezo utaendelea hata kama ameshafunga ndoa
Huu ndio ukweli na jamaa kawa muwazi vya kutosha wengine ni kujibaraguza tu na kujivunga huku liroho linapwita; ndio mana tangu enzi ilikuwa muhimu mwanamke kuolewa na bikira yake kuepusha upaka shume huu
 
Mabest kihivyo muda tu ndo haujawadia siku yakikukuta majonzi ya kukuchanganya akili watakugegeda kimafungu mpaka utapike
 
Mabest kihivyo muda tu ndo haujawadia siku yakikukuta majonzi ya kukuchanganya akili watakugegeda kimafungu mpaka utapike

Stoooooooooooooooooooooooooop!!!!!!!!!!! I'm a man please. Changia kwa jinsi hiyo.
 

mimi pia ni one directioner ---> no turning back. tukiachana tumeachana. no rematch, ila tukikutana salamu kama kawa, akijifanya mchuno na mimi mchuno
 
.....namchukulia kama kiporo kinachotakiwa kupashwa joto/moto?:ballchain:
 
Jamani.. kwa hiyo wanawake tu ndo wa kuachwa? na je kama ni mwanaume ukikutana nae umuone kama nani? (acha dharau bwana)
 
hatujawahi kumeet since we broke up though we live in the same environment.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…