Wilbert1974
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 1,632
- 481
Hapo simple, kama gari inamaji ya kuoshea kioo(Wind Glass) unaflash tumboni kwake tu, lazima atashtuka na kusogea kando.
Mkuu Mbezi Beach wiki iliyoita maji ya bomba unayosema yalitoka na rangi utafikiri chai ya rangi. Ukipenda gari lako pendelea kutumia maji special (Pure water) kwenye rejeta na wind glass water storage.dawasco wamekata maji
Gari yenyewe imechoka hivyo sidhani ka huo mfumo upo hai; ikiwa shoo tu mbele ilishatoka!Hapo simple, kama gari inamaji ya kuoshea kioo(Wind Glass) unaflash tumboni kwake tu, lazima atashtuka na kusogea kando.
Mkuu unaweza kuona "nozel" mbili juu ya buti, labda awe amesahau kuweka maji.Gari yenyewe imechoka hivyo sidhani ka huo mfumo upo hai; ikiwa shoo tu mbele ilishatoka!
Sasa asije akashutuka akaamua kulilalia gariHapo simple, kama gari inamaji ya kuoshea kioo(Wind Glass) unaflash tumboni kwake tu, lazima atashtuka na kusogea kando.
Mkuu huyo akishtuka lazima atasogea aone nani anagusa tumbo lake, ndipo nawe unaitafuta gia ya kupaa ipo wapi.Sasa asije akashutuka akaamua kulilalia gari
Mkuu kilichotoka hapo ni bamba la mbele tu hilo gari lipo bomba si unaona hata matairi yenyewe PIRELLI.Gari yenyewe imechoka hivyo sidhani ka huo mfumo upo hai; ikiwa shoo tu mbele ilishatoka!
Nazungumzia zile pipe za maji kwa ndani ya boneti, ka gari limechoka au parking za uswazi nazo unakuta zimeishaliwa na panya siku nyingii!Mkuu unaweza kuona "nozel" mbili juu ya buti, labda awe amesahau kuweka maji.