Unalitambuaje godoro feki?

Unalitambuaje godoro feki?

Zingatia label, mara nyingi huwa imebandikwa vibaya, inakuwa haifananii na ya kampuni husika, bei pia ni kitu cha kuzingatia ikiwa cheap sana kuna uwezekano ukaondoka na mzigo fake.
 
Hapo kwenye kubonyea unalikuta godoro la kuitwa panafoam haya magodoro miyayusho sana....ukiamika kama umetoka jehanamu.
Hahahaha ni changamoto kwakweli, ndo maana kuna muda unashauriwa ulale chini kwenye floor ili unyooke sababu magodoro mengi yana changamoto ya kubonyea kati
 
Density ni Tungamo, Sayansi darasa la 6 miaka ile.
Haya tungamo ni nini😁
 
acha tu mkuu, omba usikutane nayo hela yako mwenyewe inakutesa. halafu kuna watu humu jukwaani wanasema hayo ndo mazuri dah kweli tunatofautiana
Maana yake unalala halafu unamka unapumzika,kuna ugumu na ugumu,ila ugumu huo hapana,maana yake utafikiri kumejazwa mchanga ndani kama punch bag
 
dah siji kusahau, nilinunua godoro la dodoma asili, ni gumu zaidi ya sakafu yale ni mateso siyo raha. unaamka mbavu zinauma, mgongo umechemka. yaani unalala saa mbili then saa 8 au 9 hivi unaamka upumzike

sahv nina QFL yaani ni burdani, hata Mbaga Jr na ndege secretarybird wanaweza hata kulitoboa wakapigia nyeto

dah siji kusahau, nilinunua godoro la dodoma asili, ni gumu zaidi ya sakafu yale ni mateso siyo raha. unaamka mbavu zinauma, mgongo umechemka. yaani unalala saa mbili then saa 8 au 9 hivi unaamka upumzike

sahv nina QFL yaani ni burdani, hata Mbaga Jr na ndege secretarybird wanaweza hata kulitoboa wakapigia nyeto safi
Hilo godoro Halifai kabsa labda kama wanayo mengine mazuri
 
Back
Top Bottom