Unalikumbuka kundi la Twins rappers clipse ?

Unalikumbuka kundi la Twins rappers clipse ?

komeka

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2013
Posts
1,072
Reaction score
404
Wadau mnawakumbuka hawa jamaa ? binafsi nilikuwa nawakubali dizaini kama game wamesanda maana cku hizi siwaskii
 
Mkuu bado wapo ila kila mmoja alikuwa anafanya solo projects. Pusha T ana albam katoa mwaka jana inaitwa "My name is my name" wakati No Malice naye alitoa "Hear Ye Him". Sasa hivi wanafanya albam ya pamoja "As God as my witness".
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom