tamimusalim JF-Expert Member Joined Jun 17, 2014 Posts 1,822 Reaction score 501 Jul 8, 2014 Thread starter #21 LBG said: ni noma hiyo track. Click to expand... jamani mbona mjasikiliza wimbo its about time na coco sikia wimbo wake pekee yake bahada ya swv kufa unaitwa sun shine
LBG said: ni noma hiyo track. Click to expand... jamani mbona mjasikiliza wimbo its about time na coco sikia wimbo wake pekee yake bahada ya swv kufa unaitwa sun shine
Idimi Platinum Member Joined Mar 18, 2007 Posts 15,625 Reaction score 11,636 Jul 8, 2014 #22 tamimusalim said: mmmmm!!!!! Kweli wewe uko mbaliiiii Click to expand... Ninayo original version ya hiyo album ya Crazy Sexy Cool, ina kitabu cha lyrics ndani yake. Iko bomba sana. Sijajua kwa nini makundi mengi ya wakati huo hayajadumu. Talking of 702, TLC, Xscape, Fugees n.k.
tamimusalim said: mmmmm!!!!! Kweli wewe uko mbaliiiii Click to expand... Ninayo original version ya hiyo album ya Crazy Sexy Cool, ina kitabu cha lyrics ndani yake. Iko bomba sana. Sijajua kwa nini makundi mengi ya wakati huo hayajadumu. Talking of 702, TLC, Xscape, Fugees n.k.