Unaletewa parcel na document yoyote mpaka ulipo kwa sh 5000

Unaletewa parcel na document yoyote mpaka ulipo kwa sh 5000

swali zuri sana
kuna process za kufanya mtu mpaka akapata icho cheti withough incurring any cost,,, only companies cost. it means kutafutiwa cheti kingine ambacho kitakuwa na value km kile ulichokuwa nacho mwanzo,,, ila ofice yetu ipo very serious na service zetu inadeal na confidencial things,,,hatutegemei kitu kama icho kutokea but incase of inconvenience we will work on it.[/QUOTE]
karibu ofisi zetu zipo ,,kampuni inaitwa Unilever courier services ipo mwenge -kituo unashuka ITV-kama unaelekea makumbusho mkono wako wa kulia kama unatoka makumbusho mkono wa kushoto.-0653-620415.
 
Unajua anaweza kuwa na wazo zuri na mkakati mzuri
Ila hofu ya vijana wengi ni kufungua kampuni,unajua kuna kampuni kufungia hata milioni haifiki.Ila mtu akisikia kampuni anajua heeee,
Yaaani kampuni inamtia hofu,inakuwa kama zamani mie nilivyokuwa naogopa Benki aiseee.

Sasa anaweza lengo ni zuri na ni muaminifu ila anataka kuanza kwanza kienyeji.Sasa sidhani kama ni tapeli.Najua atakuwa na mfumo wa kuwa traced.
Na budet yake ya Buku tano,anaweza kuanza kwa kupanda Daladala ili asave

Mie namuunga mkono,kuna watu wanaanzia maisha mbali sana,na mpaka kuandika ni kwamba amefikiria mbali mno.Na unaweza kukuta yupo yeye na mwenzie tu,ili wazichange na wakiona inalipa wapate msaada wa kufungua kampuni baada ya kuzichanga.
Upande wa Pili:
Ila kinachombana hapo hapo,ni kusema kwamba wana BIMA.
Hapa ndio linakuja swala la kutakiwa kueleza Kampuni yake,maana mpaka kuwa na Bima sio mchezo,makampuni makubwa tu Bima hayana.Sasa jamaa inabidi ajieleze.
Bila hiki kipengele angekuwa ana credit ya kutumwa hata vimemo ambavyo vikipotea havina issue
Nashukuru sana Zanzibar spices kwa positive attitude uliyoonesha, na maelezo uliyoyatoa,, lakini pia siwalaumu vijana walioonesha ku-comment negative ni kwa sababu hali ya maisha ss hv ilivyo na kwa ss especially binadamu tulivyopunguza uaminifu; kapuni ipo kweli pamoja na bima karibu sana unaweza ukanitext kwa kutumia namba ya simu niliyoiweka na pia ukatembelea kampuni yetu tupo Mwenge -,,kampuni inaitwa Unilever courier services ipo mwenge -kituo unashuka ITV-kama unaelekea makumbusho mkono wako wa kulia kama unatoka makumbusho mkono wa kushoto.-0653620415 naweza kukutumia business profile pia, karibu sana utuunge mkono.
 
Back
Top Bottom