Wanaume wengi wanaocheat huwa ndani hawatimizii wake zao tendo la ndoa. Halafu wanazusha vurumai ili mama asimbughudhi kuomba tendo. On average mwanaume wa kawaida ,siongelei sex maniac, anafanya sex mara NNE kwa wiki. Ukienda kwa mchepuko ukafanya round mbili jioni ukija kwa mkeo unamuona kama dada yako.,huna hamu na tendo . ni fallacy kudhani kuwa unaweza kuwatimizia sex wanawke 4 tendo LA ndoa ,haiwezekani. Oversex INA madhara kwa Afya yako ukifika uzeeni. Kuvimba tezi dume (benign prostate hypertrophy) ila sio cancer lakini tiba ni operation. Sema tu mkioana vijana wawili miaka umri unakaribiana mwanamke akifika 50 years akaingia menopause hamu ya sex kwake inapungua sana . hiyo ndiyo sababu ndoa nyingi huvunjika at 50's. .Lakini mkiwa vijana ukawa na umeoa wake wanne huwatosheezi sex. Sana utawashibisha chakula kama ni tajiri lakini tendo lile utasaidwa tu. Duniani ni ubatili ,self control kwa mwili wakati mwingine ni busara . Unaposikia humu J F MTU anajisifia eti amepiga round tano basi ujue alikuwa na siku nyingi hajapata sex, lakini unaye au unao ndani ke round tano unadanganya na kukoleza soga humu. Sex maniac jiandae kutembea mgongo umeinama uzeeni au kuziba mkojo kwa ugojwa huo wa BPH maana unaioverwork prostate gland kwa kuproduce semen nyingi kila mshindo unapozitoa .Uamuzi ni wako chagua maisha na hatima yako. Unajua kuna watu hawajui kutafsiri takwimu ,akisikia wana wake ni wengi kuliko wanaume ,kumbe me ni 23 mil. na ke ni 24 mil. Sasa huo uwiano kwa hesabu za kwaida tu, zinahalalisha kuoa wake2,3au 4..Naomba nimalize kwa kusema siingilii imani ya MTU. Ila waliotuletea imani kwao ndoa za mitala hazipo,tena wanaoana ndugu ili Mali isiende mbali.