Kumbukumbu zangu zinakumbuka mmiliki wa mtandao huu alikamatwa na mtandao huu ulifungiwa.
Taarifa za wakati ule zilionyesha ni mtoto wa kigogo flani na aligundulika baada ya kumzalilisha Rais Jakaya
1.Alishitakiwa mahakama ipi?
2.Hukumu ya Ze utamu ilishatoka?
3.Au kwa kuwa kulikuwa hamna sheria ya udhibiti wa mitandao jamaa alipeta?
Unauliza unachojua au usichojua?Kumbukumbu zangu zinakumbuka mmiliki wa mtandao huu alikamatwa na mtandao huu ulifungiwa. Taarifa za wakati ule zilionyesha ni mtoto wa kigogo flani na aligundulika baada ya kumzalilisha Rais Jakaya.
1. Alishitakiwa Mahakama ipi?
2. Hukumu ya Ze utamu ilishatoka?
3. Au kwa kuwa kulikuwa hamna sheria ya udhibiti wa mitandao jamaa alipeta?
Ungekuwa wewe ungemshitaki kwa sheria ipi? Mbona unauliza na kujijibu mwenyewe?
Mi sijaelewa kitu hapo, ze utamu ni nani?
Mi sijaelewa kitu hapo, ze utamu ni nani?
le mutuz na ze utamu yake
the utamu=lemutuz
Mi sijaelewa kitu hapo, ze utamu ni nani?
Naona kijana umeanza kufungua mitandao wakati wa internet za bure bure hizi nini?
Dah!!! ze utamu waliweka picha ya 'kiranja mkuu' akikamuliwa uwemba huku uso wake ukiwa umejaa lile tabasamu lake maarufu...
Ilikuwa shughuli wakti huo aisee!!!
Hamna mtu yeyote anaeweza kua na ile shughuli kwenye databox zake