View attachment 87215
Habari wanajamvi jumapili ya leo tulivu....leo nimeona sio mbaya tukikumbusha mmoja ya michezo ya zamani mmoja wapo ni huu wa kutafuta mdudu huyu maarufu kama BARANGULU a.k.a BALALE....Je mwanajamvi mwenzangu unakumbuka wapi ukimwona mdudu huyu....?
Tililika hapa.....
Sent from my GT-N7000 using Tapatalk 2

Unani kumbusha time za kurudi shule, haswaa ndio mchezo huo ( kubaka balale ) unapo noga, tena mukiwa wengi ndio usiseme
huyu tulikuwa tunamwita barareeeee.....huyu bwana tulikuwa tunamtreat kama ng'ombe.....ukiwa nao wengi wewe ndio m'babe.......sasa sisi wakike kukamata wengi tunaanzia wapi.......lazima ukamatiwe.......sasa anayekukamatia inakuwaje.......? ha ha ha......them old days......
watoto wa siku hizi bure kabisa........vitu kama hivi hawana.......
View attachment 87215
Habari wanajamvi jumapili ya leo tulivu....leo nimeona sio mbaya tukikumbusha mmoja ya michezo ya zamani mmoja wapo ni huu wa kutafuta mdudu huyu maarufu kama BARANGULU a.k.a BALALE....Je mwanajamvi mwenzangu unakumbuka wapi ukimwona mdudu huyu....?
Tililika hapa.....
Sent from my GT-N7000 using Tapatalk 2
huyu tulikuwa tunamwita panzi akiruka juani utasikia anatoa mlio parrrrr parrrrrr
ukimkamata vibaya anakuchoma na miba ya kwenye mikono yake.. ni watamu sana hasa ukikuta alikuwa anakaribia kutaga, wanapatikana sana sehemu wanazolima mahindi
Kweli mkuu humchezo ni noma, inafika kipindi mpaka madaftari yana kuanguka lakini huna habari, sasa ngoja urudi nyumani upambane na kibano. Kwanza ume chulewa kurudi skonga, pili madaftari yame pungua ndani ya bag basi balaa tupunimeshawahi kutoka kwa mguu mimi na watoto wenzangu tuko kama 8 hivi kwenda kukamata balale tumeanzia jangwani mpaka mabwawa 7 buguruni wanapo mwaga maji machafu sasa nikapoteza shati...bwana wee nilipo rudi home nilitembezewa kichapo noma
Balale wanaliwa? Najuuuta, manake tulikuwa tunawabaka kwenye majani. Ukitoka kubaka balale ukienda kuga unawashwa ile mbaya.
Enzi hizo kubaka was not a crime
huyu tulikuwa tunamwita barareeeee.....huyu bwana tulikuwa tunamtreat kama ng'ombe.....ukiwa nao wengi wewe ndio m'babe.......sasa sisi wakike kukamata wengi tunaanzia wapi.......lazima ukamatiwe.......sasa anayekukamatia inakuwaje.......? ha ha ha......them old days......
watoto wa siku hizi bure kabisa........vitu kama hivi hawana.......
Dah watamuje kwa wale wa maeneo flani tunawaita "NZIE"