Unakumbuka vioja vipi siku unatahiriwa?

kupigwa ganzi ni umama, mtu aliyepigwa ganzi status yake ni sawa na binti aliyevunja ungo, binti akivunja ungo anajikuta tu damu inatoka bila maumivu yoyote.

Siku ukipata jeraha ukaenda hospital uje na video itakayoonesha unashonwa bila ganzi ili tujue kabisa mama yako ni mjinga kiasi kwamba kila jambo unaloona la kipuuzi unalinganisha na umama. Ama umuulize mama yako siku anajifungua nani alichoma sindano ya ganz
 
Back
Top Bottom