ukuwi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 883
- 1,491
Hapo mwishoni tu umenipa mashaka.Siku niliyo andika kibarua kifupi cha mapenzi, kwa mrembo mpya alie hamia shule kwa kutumia karatasi ya big G na kukiweka kwenye beg lake.
Kikashikwa na mama ake, “that feeling” unapo kuwa umehisiwa wewe ndie umeandika kile kibarua ukaguzi wa miandiko ukaanza, kwakuwa mimi ni mwana intelijensia wa kuzaliwa, hawakuweza kunishika kwani mwandiko nilio andika kwenye kibarua haufanani na wadaftari.
Basi hadi leo nikikaa na jamaa zangu tukikumbushiana tunacheka sana.
Ujinga mwingine tulikuwa tukishindana kudindisha mkuyenge alafu mmoja anaubinya ukishindwa kuvumilia umeshindwa.
Alafu siku hizi unakimbilia kwa wamasai ukitafuta dawa kuongeza nguvu za kiume,kumbe umezimaliza mwenyewe kwa ujinga wenu wa kuminyana minyana
Wazazi chunguzeni watoto wenu tuokoe taifa la kesho..