Unakumbuka Utundu gani....

Unakumbuka Utundu gani....

Mwifwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2017
Posts
48,777
Reaction score
126,723
.
IMG_20180218_205155.jpg
 
Nakumbuka ile michezo ya kuwawekea kioo wadada tuone chupi zao... Kuna mshkaj wangu alimwekea mwalim daah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Siku niliyo andika kibarua kifupi cha mapenzi, kwa mrembo mpya alie hamia shule kwa kutumia karatasi ya big G na kukiweka kwenye beg lake.
Kikashikwa na mama ake, “that feeling” unapo kuwa umehisiwa wewe ndie umeandika kile kibarua ukaguzi wa miandiko ukaanza, kwakuwa mimi ni mwana intelijensia wa kuzaliwa, hawakuweza kunishika kwani mwandiko nilio andika kwenye kibarua haufanani na wadaftari.

Basi hadi leo nikikaa na jamaa zangu tukikumbushiana tunacheka sana.
 
Ujinga mwingine tulikuwa tukishindana kudindisha mkuyenge alafu mmoja anaubinya ukishindwa kuvumilia umeshindwa.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jahaahahhahahh
 
Nilikuwa nikiaminika sana kuanzia Wanafunzi hati walimu ila nilikuwa mwizi mzuri wa kalamu darasani, ikitokea alieibiwa anaambiwa atusachi mabegi yetu akinifikia hanisachi, mwalimu akimwambia kwanini hujamsachi huyo? Utasikia huyu haibagi, hii ilikuwa shule ya msingi hadi sekondari. Usafi wangu na upole viliwapoteza wengi.
 
Ha ha ha mkuu umenikumbusha S/Msinngi. Nilikuwa naiba sana mifagio ya chelewa iba sana asee.
Nashukuru mungu kuniwezesha kutokuwa kibaka mporaji kama wale wa ubungo..

Maana nilikuwa napora kabisa mlangoni mda wa kurudi ile kengere ya saa nane
 
Nakumbuka nilikuwa navalia nguo ndani km 2 kuzuia viboko ili nipate ubabe wa kugandsha viboko, maana nilikuwa nacheza almost all days nikaja shonea kigodoro kwenye pensi moja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah sio powah ..siku na siku nikakamatwa kuvua kwa mademu class nomaa ..i cant forgot that event
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
nilikuwa mpiga kelele shule nzima kiasi kwamba nikienda madarasa mengine tofauti na letu nafukuzwa kichizi

mungu ni mwema si mpiga kelele tena[emoji4]
 
Back
Top Bottom