Unakumbuka tungo hii?

Unakumbuka tungo hii?

kingfish

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
571
Reaction score
159
"...usifikiri nimekukataa,
mimi ni wako wa daima,
uyasahau yale wanayosema,
shaka ondoa ninakwambia,
ubora wa mtu ni tabia,
uzuri wa mtu si shani.
"
 
Du! Kumbe vijana wa zamani hawapo jf! Huo wimbo ni wa nuta jazz band
 
Mkuu Kingfish, watu wazima tupo humu!
Lete maswali ya muziki, upewe majibu mkuu!
 
tungo hiii muumbaji wa kike anaitwa nani na wimbo huu unaitwajee yeyote wimbo umetoka muaka ya 2000 ---2005


Tutulie mpenzi wangu, mimi wako daima,
wasikutishe kwa maneno, mimi ni wako daima
 
Back
Top Bottom