Ufunuo wa Yohana
JF-Expert Member
- Oct 9, 2007
- 319
- 67
Mimi nijuavyo ni kuwa Dr. Shaba ndite alifanya postmotem ya Moringe na ripoti ilikuwa siri sana kwa kweli. Kwa mara ya kwanza nilimuona Kambarage akitoa machozi hadharani pale Karimjee (bunge la zamani).
Niliambiwa kuwa Lowassa alikuwa na mpango kuwa baada ya Kikwete urais ungehamia Monduli kwa miaka 20 maana yeye angechukua kwa miaka 10 na kisha kumpisha mtoto wa Marehemu Sokoine ambaye yuko Marekanai kwa miaka mingine 10. Wakati yeye (Lowassa) akiwa rais mtoto wa Moringe angekuja kugombea ubunge wa Monduli (ambao angeupata kirahisi kutokana na jina la baba yake) na kisha baadaye kuwa waziri kwa miaka 10 ya uongozi wa Lowassa. Hiyo ingempa uzoefu wa kuwa rais baada ya Lowassa kumaliza kipindi chake.
Sasa mambo kidogo yamebadilika sijui itakuwaje.
Nadhani Kithuku uko sahihi.Bubu nadhani umechanganya masuala kidogo hapa. Dr Fupi (Ferdinand, MD) hadi hivi karibuni alikuwepo Morogoro kwa kadiri ya kumbukumbu yangu, na kuna wakati miaka michache iliyopita nilikutana nae huko katika vikazi vyangu vya "ungwini". Dr Fupi "aliyepotezwa" ni yule aliyekuwa mkemia mkuu wa serikali miaka ya 1990, enzi ya lile sakata la uingizaji wa vyakula vibovu, aliweka msimamo mkali sana juu ya maelfu ya tani za vyakula hivyo vilivyoagizwa kutoka nje kifisadi kuwa havifai kwa matumizi ya binadamu, na alikuwa shahidi muhimu mahakamani. Alifariki katika mazingira ya kutatanisha kabla hajatoa ushahidi huo.
Bubu nadhani umechanganya masuala kidogo hapa. Dr Fupi (Ferdinand, MD) hadi hivi karibuni alikuwepo Morogoro kwa kadiri ya kumbukumbu yangu, na kuna wakati miaka michache iliyopita nilikutana nae huko katika vikazi vyangu vya "ungwini". Dr Fupi "aliyepotezwa" ni yule aliyekuwa mkemia mkuu wa serikali miaka ya 1990, enzi ya lile sakata la uingizaji wa vyakula vibovu, aliweka msimamo mkali sana juu ya maelfu ya tani za vyakula hivyo vilivyoagizwa kutoka nje kifisadi kuwa havifai kwa matumizi ya binadamu, na alikuwa shahidi muhimu mahakamani. Alifariki katika mazingira ya kutatanisha kabla hajatoa ushahidi huo.
Mara zote vita huwa ni suluhu ya mwisho kabisa na hii haipangwi ila huja automatically. Ukisema uanzishe vita utajikuta uko peke yako unavunja ukuta wa nyumba ya Lowasa wenzio wako majumbani. Tatizo tulilo nalo TZ ni ukosefu wa elimu hasa ya kujua haki zetu za msingi kutoka kwa watawala tuliowapa dhamana ya kutuongoza. Bado tunawaza kuwa kupiga kura ni kutimiza wajibu na hatuoni thamani ya kura tunayopiga.
Yawezekana uko sahihi nami nikawa sahihi na Dr aliyemfanyia postmoterm EMS ndiye haswa niliyelenga kwamba alikwenda tusikopenda kwenda huko japo lazima twende.
Bubu nadhani umechanganya masuala kidogo hapa. Dr Fupi (Ferdinand, MD) hadi hivi karibuni alikuwepo Morogoro kwa kadiri ya kumbukumbu yangu, na kuna wakati miaka michache iliyopita nilikutana nae huko katika vikazi vyangu vya "ungwini". Dr Fupi "aliyepotezwa" ni yule aliyekuwa mkemia mkuu wa serikali miaka ya 1990, enzi ya lile sakata la uingizaji wa vyakula vibovu, aliweka msimamo mkali sana juu ya maelfu ya tani za vyakula hivyo vilivyoagizwa kutoka nje kifisadi kuwa havifai kwa matumizi ya binadamu, na alikuwa shahidi muhimu mahakamani. Alifariki katika mazingira ya kutatanisha kabla hajatoa ushahidi huo.
Wananchi wetu bado wana elimu ndogo katika suala zima la upigaji kura. Kinachoweza kuvunja mtandao huu ni kuua CCM. Ikifa inakufa na kila kitu.
PUNGUZA DHARAU KWA WATANZANIA , TUJIANGALIE SISI TUNAOUZA HOJA HIZI ZA KUIUA CCM KAMA TUNAFANANA NA KAULI ZETU KIMATENDO,UNAFIKIIIIIII NDG NDIO ULIOTPELEKA HAPA, MWALIMU ALIZINGIRWA NA WANAFIKI NA WALE WALIOTHUBUTU KUSEMA UKWELI NDIO WALIKUWA MAADUI WA NCHI HII,UGONJWA HUU BADO UPO SI KWA CCM TU NI PAMOJA NA VYAMA VINAVYOTOFAUTIANA NA CCM ,TAFADHARI WATANZANIA WALIO WENGI WAMELAZMIKA KUIMBA NYIMBO ZA HAWA WANAFIKI WALIOWATEULE WA WENYE NCHI,HAWAKUWA WAKWELI 60S NA SASA HAWATAKI KUWA WAKWELI SI KWA UMMA TU BALI HATA KWA NAFSI NA MIOYO YAO.
Mzee wa Kijijini.
Wako wapi hawa watoto?huyu LAZARO NA MWINGINE ALIIITWA JOSEPH MORINGE SOKOINE?
Tumeambiwa mengi, wengine wanasema alipigwa risasi, ukweli ni kuwa kifo chake kilitokana na uzembe au unprofessionalism ya walinzi wake.