Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,278
- 8,868
Habari zenu!
Nimepata wazo la kutuunganisha na kutukumbusha mbali,kama sio sisi wenyewe basi tutawakumbuka hata baadhi ya watu kama wanakijiji,waalimu,wenyeviti wa kijiji,mashekh,mapadri n.k.kwa wale wamjini unaweza tupia mkoa na eneo na story zikaendelea.
Tupieni shule za msingi tulizosoma ikiwa ni pamoja na kijiji au kata iliyopo shule hiyo tuone wanajf wangapi watakuwa walishea shule na vijiji kizawa na kimasomo.
Tutiririke!!!!