Unakumbuka nini...

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,722
5301649_images13_jpega92402abba093dc37959d7734a98a484
 
Nakumbuka miaka hyo nilikuwa kama darasa la pili hv.. siku moja nikaenda kwa mshikaji wangu kulikua na sherehe jirani yetu.. tukawa tunaiba bia zilizokua zimebaki kwenye glass na kwenye chupa (za watu waliokua wanacheza mziki)

Baada ya mda nikazima.. kuja kupata fahamu nilijikuta ndani ya beseni mama ananiogesha na maji baridi.. kwenye saa sita hivi usiku
 
Nilipokua mtoto walikua wananiita bata jinsi nlivokuwa napenda kuchezea maji..
 
Back
Top Bottom