sita sista angu mkubwa na blues za juddy boucher, sista angu mdogo aliporekodi twaarab za Nasma kidogo akiwa na tot kwenye kanda yangu mpya ya Bob Marley ikiwa ni ktk collection ya kanda kumi na sita nilizokuwa nazo, nyumbani hapakukalika siku hiyo!
Hadithi za ua jekundu... we acha tu.......... Siku hizi mitoto ni kompyuta gemu tuMe nakumbuka kipindi cha mama na mwana kilikuwa mchana mara nyingi wakati huo nilikuwa nawait chakula, na mother yuko jikon anapika.
namkumbuka yondo sisita!
namkumbuka yondo sisita!
Hivi sio cheiii cheiii?
Nidhamu ya kazi ni msingi, na mafanikio mema kazini, viongozi na wafanyakazi lazima wote wawe na nidhamu. Migogoro, na migongano, ya kazini, ni ukosefu wa nidhamu.( Nimesahau kipindi longtime)
Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe. (Jumapili)
Ajuae bwana Mungu kwa mzima kua mfu mgonjwa kua salama, tunawapa pole. (Ugua pole)
WEE ACHA TU. KULIKUA HAKUNA UKWIMI, WAKUBWA WALIKUA WANAFAIDI TU. Ukibaka unalipa mbuzi tu, hakuna miaka thelathini jela, Yaani we Acha tu.
mmesahahu majira na kombora na kila j1 kipindi cha salam za wagonjwa mahospitalini pamoja na kipindi cha chakula bora
mchezo wa redio je??
Duh mengi sana wa2 wameshaorodhesha hii mi nakumbuka radio yenyewe ilikuwa inatumia betr 6
betri za Natinal 6 ni 1200 kwa 200@1, af kulikuwa na betri ya kijivu zilikuwa zinaitwa Bello 150 @1 sasa bi mkubwa anakwambia hayo hayana nguvu.
Sasa hapa nakumbuka radio ilikuwa inakaa chumban kwao sasa tulikuwa tunasikiliza usiku tu! Wakat wa kujiandaa kulala ukiona radio inapiga ndan af ni mchana ujue kuna mgeni kaja na kanda inayopga hapo Munishi wimbo Malebo,,
radio inavyokuja seburen ilikuwa inakuja ikiwa imetenganishwa na betri zake eti zinasha nguvu,kuvujia ndan,kuharbu radia n.k
af cha mwisho betri zikiisha nguvu bi mkubwa alikuwa aponda na pandikizo(banio la ugal) af zinawekwa juani, jion ukiweka mambo ok!. Na zikiisha nguvu kabisa zikaanza kukoroma una renew unanunua betri 2 unaweka mbele zili 2 za nyuma unatoa! Aaaa naenjoy sana kukulia uswazi pabarikiwe USwaZi!!!
Tt
Me nakumbuka kipindi cha mama na mwana kilikuwa mchana mara nyingi wakati huo nilikuwa nawait chakula, na mother yuko jikon anapika.
Mbilia Bel bwanaaa... weeeAurus Mabere, Victoria Eleison na Brazamen Ghato ...