Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,251
- 44,586
Lakini alikuwa ni dada aliyekuwa anajiuza....aliulizwa kama anaweza na akakubali....na alilipwa kulingana na kazi aliyoomba
huyu bwana mkubwa wa IMF amekuwa denied bail, hapa kuna somo tujifunnze,utawala wa sheria na uhuru wa mahakama.....kwani mambo ya kisiasa na kidiplomasia kuingilia uhuru wa mahakama bado ni tatizo kubwa
Huyu "IMMIGRATION", alinyongwa kabisa!!nakumbuka vizuri sana....yule dada alikuwa wa iringa() na kama kumbukumbu zangu nazichanganya alitetewa na ISSA SHIVJI, hii ikanikumbusha ksa kingine cha mbwa aliyepandishwa kizimbani kwa kuitwa "UHAMIAJI"
Mkuu hebu tukumbushe kidogo kuhusu huyu UHAMIAJInakumbuka vizuri sana....yule dada alikuwa wa iringa() na kama kumbukumbu zangu nazichanganya alitetewa na ISSA SHIVJI, hii ikanikumbusha ksa kingine cha mbwa aliyepandishwa kizimbani kwa kuitwa "UHAMIAJI"
Nilikuwa napiga stori na ndugu yangu mmoja kuhusu kesi ya Strauss-Kahn na kukumbushana jinsi wale wanajeshi wa Uingereza waliotuhumiwa kubakwa walivyoachiliwa kwa moyo mkunjufu na serikali yetu ili "tusichafue jina la Tanzania". Ndipo nikakumbuka kisa kile cha yule mbwa wa Wajerumani ambaye baadaye aliitwa "shemeji" na kusababisha mbwa kuitwa "mashemeji". Kilikuwa ni kisa cha kusikitisha sana sijui kama watu wanakikumbuka.
... nikiacha kupata kichefuchefu nitawasimulia...[/QUOTE]
Still nauseatic? lete vitu bana
Ndo maana mi napenda sana China, hakuna mambo hayo....wacha waseme eti hawana Human Rights...Tena ukipatikana na hatia kifungo kwenda mbele na 'forced labour' juu......:dance:Na unakumbuka wanajeshi wa Uingereza waliopelekwa mahakamani kwa kosa la kubaka na kumuua mdada wa Kitanzania pale Kunduchi? Kisha wakapewa VIP treatment kurudi kwao na si Keko mpaka kesi yao itakapokwisha. Hata kama dada huyo alikuwa 'working girl' bado yeye ni binadamu tena Mtanzania mwenzetu. Tanzania bado inafanya mambo ya 'Shamba la wanyama'. Zaidi ya yote, tuna sifa ya kusahahu haraka sana...!
Huyu "IMMIGRATION", alinyongwa kabisa!!
Katavi na Mahesabu, hebu iwekeni hii 'Uhamiaji' katika mtiririko ili tuelewe kilichojiri na kuingiza katika kumbu kumbu zetu.
Siikumbuki vizuri. Kwa ufupi tu.
Ahsante