Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,372 Oct 10, 2014 #1 Unakumbuka ulipokuwa shule ya msingi au secondary ulitandikwa fimbo ngapi kiwango cha juu na mwalimu nani kisa nini? Mi nilichapwa na mwalimu Mbisse fimbo 47 kisa kumtukana monita kwamba ana jicho kama nyangumi.
Unakumbuka ulipokuwa shule ya msingi au secondary ulitandikwa fimbo ngapi kiwango cha juu na mwalimu nani kisa nini? Mi nilichapwa na mwalimu Mbisse fimbo 47 kisa kumtukana monita kwamba ana jicho kama nyangumi.
ROBERT MICHAEL JF-Expert Member Joined Oct 23, 2012 Posts 5,054 Reaction score 2,873 Oct 10, 2014 #2 Huu uzi wako utakuwa na viewers wengi kuliko wachangiaji.
Mazoko JF-Expert Member Joined Jul 10, 2009 Posts 674 Reaction score 187 Oct 10, 2014 #3 Simba 5-0 Yanga
S Shafii the Great Member Joined Jan 18, 2014 Posts 36 Reaction score 1 Oct 10, 2014 #4 viol said: unakumbuka ulipokuwa shule ya msingi au secondary ulitandikwa fimbo ngapi kiwango cha juu na mwalimu nani kisa nini? Mi nilichapwa na mwalimu mbisse fimbo 47 kisa kumtukana monita kwamba ana jicho kama nyangumi. Click to expand... huh?!!
viol said: unakumbuka ulipokuwa shule ya msingi au secondary ulitandikwa fimbo ngapi kiwango cha juu na mwalimu nani kisa nini? Mi nilichapwa na mwalimu mbisse fimbo 47 kisa kumtukana monita kwamba ana jicho kama nyangumi. Click to expand... huh?!!
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,372 Oct 10, 2014 Thread starter #5 Mazoko said: Simba 5-0 Yanga Click to expand... Barcelona 0-7 Simba Simba wapo ugeninini
Achoki Senior Member Joined Mar 27, 2013 Posts 151 Reaction score 60 Oct 11, 2014 #6 Viol said: Barcelona 0-7 Simba Simba wapo ugeninini Click to expand... arsenal 0 messi 4 messi yupo ugenini
Viol said: Barcelona 0-7 Simba Simba wapo ugeninini Click to expand... arsenal 0 messi 4 messi yupo ugenini