unakumbuka ulipokuwa shule ya msingi au secondary ulitandikwa fimbo ngapi kiwango cha juu na mwalimu nani kisa nini?
Mi nilichapwa na mwalimu mbisse fimbo 47 kisa kumtukana monita kwamba ana jicho kama nyangumi.
Barcelona 0-7 Simba
Simba wapo ugeninini