miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,414
- 10,970
Kwanini mkuuSijakuelewa bado
Ni me au ke?
Kwanini mkuuSijakuelewa bado
Ni me au ke?
😂😂so Colorist mana hata sio racist dahSijawahi date na mwanaume mweusi!
Go to heil ww Dada!
😅kwahiyo ulimkondesha mkuu.."Kabla ya kuwa na wewe Masterplan nilikuwa naishi, navaa na nilinenepa vizuri tu"
Yaani mwanaume anapelekeshwa naye anapelekesheka tudah wa hivi anachosha sana..hakuna hata amsha amsha,anazubaa mno kama gari bovu anaenda popote anakopelekwa.Kiukweli wanaume wa hivi wanaboa, mwanaume unatakiwa uwe na misimamo ya kiume sio kupelekeshwa pelekeshwa
Kero za wanawake zinatweza uanaume wa mwanaumeWanaume mnapenda kulalamika sana, sisi wanawake vitu vingi huwa tunapuuzia Ila na nyie mna kero sema wanawake tunasahau haraka
Wote tu hukera Sana, Mimi akinisiliba na mtoto na mwambie akazae huko asinichoshe Mimi ukute hata yeye Hana mayai vilevileKero za wanawake zinatweza uanaume wa mwanaume
Imagine mwanaume akusilibe kwanini hupati mtoto
Just imagine maumivu yake
Hapa nashindeaga paelewa
We always fall for bad boys. Yaan tunapenda hekaheka kupelekeshwa. Ila jaman mpole no. Ilimradi asiwe abusive kama kupiga na kadhalika. Mpole mwenyewe hapana naamini nitamwonea
Wewe binti mkali sana, punguza maneno utapigwaWote tu hukera Sana, Mimi akinisiliba na mtoto na mwambie akazae huko asinichoshe Mimi ukute hata yeye Hana mayai vilevile
ukali wangu ni nini sasa siwezi ruhusu mtu aninyanyase kwa kitu Kiko nje ya uwezo wangu aisee. Na staki kupigwa Mimi kahWewe binti mkali sana, punguza maneno utapigwa
Bado wako na stage ya unyani 😅Teh eti evolution yao bado inaendelea...... umenichekesha
Sasa unafikiri ni mwanamke gani atakayekubali kufananishwa na mwanaume wa aina yakoBola anifananishe na beberu sio mwanamke
Loh ! basi hilo litakuwa jini konkiJini la kumuandama muda wote si alitaka kukidhiwa haja zake sasa anakidhiwa mpaka anajuta
Na wew hua unauchonga kama black American, women'sWanaume naona mmefunguka kwenye thread hii, kisaikolojia tuko tofauti, wanaume wako physical, kupiga ndio expression ya aggression sisi wanawake tuko psychological, yani tunauchonga weeeeeeeeeee hahaaaa hadi mwanaume ananywea