Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Kila kitu pesa, pesa ikiwepo nipo tayari kufanya lolote ili niipate. "hakuna anaekataa pesa"
 
Kiukweli wanaume wa hivi wanaboa, mwanaume unatakiwa uwe na misimamo ya kiume sio kupelekeshwa pelekeshwa
Yaani mwanaume anapelekeshwa naye anapelekesheka tudah wa hivi anachosha sana..hakuna hata amsha amsha,anazubaa mno kama gari bovu anaenda popote anakopelekwa.
 
Wanaume mnapenda kulalamika sana, sisi wanawake vitu vingi huwa tunapuuzia Ila na nyie mna kero sema wanawake tunasahau haraka
Kero za wanawake zinatweza uanaume wa mwanaume

Imagine mwanaume akusilibe kwanini hupati mtoto

Just imagine maumivu yake
 
Wanaume naona mmefunguka kwenye thread hii🤣🤣🤣🤣, kisaikolojia tuko tofauti, wanaume wako physical, kupiga ndio expression ya aggression sisi wanawake tuko psychological, yani tunauchonga weeeeeeeeeee hahaaaa hadi mwanaume ananywea 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wanaume naona mmefunguka kwenye thread hii, kisaikolojia tuko tofauti, wanaume wako physical, kupiga ndio expression ya aggression sisi wanawake tuko psychological, yani tunauchonga weeeeeeeeeee hahaaaa hadi mwanaume ananywea
Na wew hua unauchonga kama black American, women's
 
Back
Top Bottom