Unakumbuka hii?

Unakumbuka hii?

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,675
1410514762823.jpg
 
Nilizichanga kama mwaka hivi nikaipata,walibeba Wakati wakufunga shule,enzi hizo rumuli p school
 
utafiti naona umechezaa umechoka umeamua ulipige picha ukumbushe digital
 
Last edited by a moderator:
achachaaa hiyo kitu ishanikosanisha sana na wazazi home.... nikiipata hata sasa nitacheza
 
Mazingira ya kwetu ilikuwa ukimiliki tu basi ww ni mtoto wa tajiri
 
Nilikuwa nalo s/m shule nzima nilikuwa nalo peke yangu. Basi nilikuwa na Marafiki tele.Nikilitoa kwny Begi nianze ku cheza,Basi nilijaliwa na wanfunz tele.kama Mkutano wa Mkulu.
Nilikuja kuibiwa na mpka leo alie niibia simjui.
 
Brick game....nakumbuka yangu ilipotea mshua akaniletea nintendo game boy,since there napenda sana kucheza games...
 
Back
Top Bottom