DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 24,049
- 30,954
Nmewahi kuona wana wa mtaani wakicheza. Mimi nilikuwa non participant observer.Hahah.
Kuna kutokukumbuka na kutokuijua mkuu. Nafkiri hukuwahi kuicheza aisee.
Nmewahi kuona wana wa mtaani wakicheza. Mimi nilikuwa non participant observer.Hahah.
Kuna kutokukumbuka na kutokuijua mkuu. Nafkiri hukuwahi kuicheza aisee.
Aaaaaaaaah mkuu.
Mbona mchokozi aisee. Unataka waje hapa sahizi wakati wamefunga mkuu.
Shauri yako aisee.
Wanaume wa Dar wanawasumbua sana akili. Hapo mbona ni kijijini huko mikoani?!
Aisee kazi mnayo.Ni kweli wanaume wa dar wanatusumbua akili kwa sababu mwanamme anayejitambua kamwe hawezi kucheza michezo ya kike kwani jamii haitakuelewa. Na hapo wala si kijijini, ni Tandale alikokulia Diamond pia ukiangalia vizuri unaweza muona kwenye hiyo picha. Hapa ilikuwa kipindi hicho wakati yuko mdogo pale alipotelekezwa na baba yake.
Hahahaaaa. Lol.
Hahahaaaa. Lol.
Wala thikulipidhii mwaya. Mie ndio zilikuwa zangu hizo ila tulikuwa tunafanya hivyo ile mida ambayo mvua inanyesha huku Mama na Baba hawapo.
Ila shida atokee Chaumbea aseme kwamba tumechezea mvua basi wote tulichezea mikwaju ya hatari.
Hahahaaaa. Ila siku hizi hayapo hayo.Hahahah.
Kumbe kama mie mwaya. Nimecheza sana kwenye mvua my dear tulikuwa tunaomba hata mvua inyeshe aisee.
Tukishaona wingu tu au manyunyu basi haoooo fasta tunaenda kuvaa vibukta vyetu tayari kwa shughuli ianze my dear. Lol.
Hahah.