Unakumbuka Hii...?

Unakumbuka Hii...?

KIOO

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
6,249
Reaction score
5,963
IMG-20180523-WA0001.jpg
 
Hahahah.

Unakumbukia wapi mkuu. Naona ulikuwa unatamani mvua inyeshe aisee.

Hahah.
Ile harufu mvua inapoanza kunyesha.
Baada ya hapo ndio kazi inaanza na maji yakijaa kwenye mabwawa duu wee acha tu hahaha
 
Ile harufu mvua inapoanza kunyesha.
Baada ya hapo ndio kazi inaanza na maji yakijaa kwenye mabwawa duu wee acha tu hahaha

Dah, ile harufu naipenda sana mkuu.

Hata mtu akiwa anamwagilia tu aidha ukuta au mchanga kutoa vumbi naskiaga ile harufu.

Hahah.
 
Dah, ile harufu naipenda sana mkuu.

Hata mtu akiwa anamwagilia tu aidha ukuta au mchanga kutoa vumbi naskiaga ile harufu.

Hahah.
Umeona ee
Yaani sijui kwa nini hawatengenezi perfume ya harufu hiyo hahahaha
Mimi ni mbunifu mzuri sana basi tu kuzaliwa huko
 
Back
Top Bottom