englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
sayansi kimu.......hivi imeishiaga wapi........?
sayansi kimu.......hivi imeishiaga wapi........?
hakuna hilo somo sasa hivi
mbadala wake siku hizi ni lipi......
hujakosea ndugu, yaan siku hizi wakitoka shule ni tv na playstation, hata mpira wa madaso siku hizi hamna. sis home ukitoka shule kama ni zamu yako kuosha vyombo au kuchota maji unafanya fasta ukacheze mpira, dada wa kazi alikuwepo lakin kama kiranja wetu kutusimamia kufanya kazi.Kiukweli haya masomo yalitufanya tuwe wasaidizi wa wazazi/ walezi wetu. Kwa kuona picha kam hiyo tu kulitosha kuona kuwa jioni ukitoka shule atleast uchote maji, unyweshee maua, ufungie kuku (kwa wale walio fuga kuku wa kienyeji) ufagie, umsaidie mama jikoni lakini siku hizi wakitoka shule tv na wao, wao na tv.. Mengine yote anafanya dada (Mschana wa Kazi). Mtoto wa kike alijua majukumu yake na wakiume vivyo hivyo... Haya mabadiliko hewa ya sasa hivi yametupelekea watoto wenye vitambi maana hawajishughulishi wala hawataki shuruba
Mkuu naomba -unijuze, huyu binti ni nani vile? Ila nimekumbuka mbali sana!Dah! Tumetoka mbali sana! Na huyo binti ktk cover hapo juu sasa ni mtu muhimu sana serikalini! dah! utaniliza aisee!
them good old days...machozi yamenilenga aisee kwa kuiona hiyo picha. Nashukuru i lived during those times za sayansi kimu na sayansi kilimo na sanaa... I am a better person because of such classes.
Ni jana usiku tu nime-repair sarawili yangu iliyotatuka kabla sijaipasi. Watoto wa siku hizi hizi kazi ndogondogo za nyumbani hawajui..inasikitisha sana.
Kizazi cha twitter na facebook!