Unakumbuka chata gani ukiwa sekondari!? Nakumbuka hizi!

Unakumbuka chata gani ukiwa sekondari!? Nakumbuka hizi!

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,990
Reaction score
12,019
Nikiwa 'O' Level nazikumbuka chata hizi:

1. Remember Kidiru
2. Akajesus
3. Chid 'B' Chid Boy
4. Mwakubombaki 'wagambo wanaruka'
5. Simple 'F'
6. Watengwa
7. Remember Maguhu Jr.
8. Mseminari
9. Mzee wa zamu
10. T. T. Okocha
11. Second Master Kivuli
12. Jay 'S' wa Bongo
13. Lafayetta Clan
14. Rember Montesque Disc Crew
15. Mtoro Mlokole
16. Jeshi Kapita
17. Sister K
18. Mr Biology
19. Tanzania Two
20. Ustake 'Nlie
21. Bad Faza
22. Wakorintho wa 3
23. Crazy Twins DnA(Hawa wapuuzi identical twins walikuwa ni wasumbufu sana "Danny na Aidan") wamba walikuwa wakorofi sana, ticha akimchapa mmoja wanataka wachapwe wote walikuwa wanapendana sana, wakitoroka wanatoroka pamoja nk

Unazikumbuka chata zipi kutoka shuleni kwako
 
1. Mchina
2. Ali Safi
3. San Material
4. Bacoz
5. Issa Ngunga
6. Ofsa
7. Mo Chenga
8. Google
9. Mzee Namba
10. Mc Mabanda
11. Joji Bantu Bantube
12. Mabala
13. Jesus Cousin
14. Ofsa Kede
15. Brilliant Idol
16. Tyson Msafiri
 
1. Baba Chomoka
2. Msabato
3. Ally Macho
4. Funny Boy
5. Uvamizi 1969
6. Swagger Dingii
7. Thug Life
8. Pensi la Chuma
9. Baba Bonge
10. TRUMP
 
Nilitumia chata ya "blue_skies"🤣

Kulikuwa na majina ya ajabu sana kama "boy friend", "ice kid", "posh kid", "licit arch" nk.

Mkimaliza mnaaandika ukutani kwamba "flani flani was once here, grey nation 2017-2020"
 
1. Baba Chomoka
2. Msabato
3. Ally Macho
4. Funny Boy
5. Uvamizi 1969
6. Swagger Dingii
7. Thug Life
8. Pensi la Chuma
9. Baba Bonge
10. TRUMP
 
1. Mchina
2. Ali Safi
3. San Material
4. Bacoz
5. Issa Ngunga
6. Ofsa
7. Mo Chenga
8. Google
9. Mzee Namba
10. Mc Mabanda
11. Joji Bantu Bantube
12. Mabala
13. Jesus Cousin
14. Ofsa Kede
15. Brilliant Idol
16. Tyson Msafiri
issa ngunga Studied at Umoja sec school
 
Back
Top Bottom