haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 1,485
- 3,562
Hapa ndo nilithibithisha kuwa mapenzi ni yanauma,
Maumivu nilioyapata sijawahi kuyapata tena na naomba yasijirudie, yaani huumwi sehemu yoyote ya mwili lakini unaona dunia iko juu chini.
Kwa mara ya kwanza nikashindwa kula. Chozi linatoka, lecture hazipandi.
Sikuwa mpenzi wa nyimbo ila nilijikuta nawafahamu kina Bruno Mars, Celine dion, ibra nation, Adele na wengine wengi.
Nilikuwa nikiangalia picha yake au nikiangalia call history nalia. Sema nilikuwa najikaza watu wasinione dhaifu.
Hakika haya mambo yasikie. Kwa ambae hayajamkuta hawezi kuelewa hii hali