Kula ni muhimu Sana.
Tatizo tunakalili kwamba kula ni chai nziiiito.
Lunch mboga kibao. No.
Saa Moja weka kitu cha moto kama kahawa au tangawizi, alkasusu nk.
Saa nne para chai. Mkate, tumbua,samosa, na maji,soda,juis nk.
Saa sita pale kula ndz,parachich water melon nk.
Saa Saba nane pata ugali wako nk.
Saa Tisa kumi para karanga, kadhata, mihogo nk.
Usiku pata tambi nyama nk au mchemsho.
Wala bia mchemsho iwe jioni