Unakubalije kushauriwa na Mwijaku, maandamano vyokooo!!!

Unakubalije kushauriwa na Mwijaku, maandamano vyokooo!!!

Its Tesha

Senior Member
Joined
Oct 6, 2025
Posts
168
Reaction score
604
Mwijaku maarufu CHAWA wa CCM anataka vijana wasiandamane yeye kama nani jamaa ana mambo ya hovyo kawaida huyu ni mnufaika wa mfumo.
 
Vijana wasiwasikilize wapumbavu kama hawa akina Mwijaku, watu wanaoishi kwa kujitoa ufahamu! huku mamilioni ya vijana wakitaabika na maisha magumu mtaani.
 
Back
Top Bottom