Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,306
- 3,413
You may be right
za leo leo hizi hao wanaume wambea watakuwa kwenye sehemu ndogo sana ya jamii na very possible ni baadhi ya maeneoSiku hizi kuna breed mpya ya wanaume. Mimbeaaaa!! Hizi data zako ni za mwaka gani kissing mate?
unafikiri r.kelly alikosea kuimba when a woman loves,she loves for real,and she can do anything to protect her love na hapo ndipo mnapotuzidi katika mapenzi.mmmh kuna ya kweli ila
wanaume na wanaweke kwenye mapenzi tupo sawa bwana tena nahisi nyie mmezidi....
pesa inaingia kwenye mengineyo,by the way pesa ni controversial sana kuna wanawake wengine huwa na wapenzi wengine just kwa sababu ya pesa ila mapenzi yao ya dhati yapo kwa wengine na hata huwaonga ili kuwaridhisa kama wanawapendaHujaeka PESA!!!
Hebu tuombe radhi. Yaani wanawake hatufikirii kazi za ujenzi wa taifa na kutunza familia tunakalia umbea tu? Hizi data zako nazikataa. Hebu twambie hayo majedwali umeyachora kutoka kwenye data ulizozikusanya kwa mtindo gani? Uliwahoji wanaume wangapi na wanawake wangapi? Uliwahoji wanawake wa mjini au vijijini? Uliwahoji walioolewa au wasioolewa? Uliwahoji wamama wa nyumbani au walioajiriwa?
Acha hizo bwana.
Tiba
unafikiri r.kelly alikosea kuimba when a woman loves,she loves for real,and she can do anything to protect her love na hapo ndipo mnapotuzidi katika mapenzi.
ukiangalia kwa makini kuna mambo mengi sana sijayaweka huwezi kuweka kila kitu so kwa kusummarize nimechagua tu ambayo huwa yanakuwa part of our lives kila siku,kuhusu maswala ya kutunza familia na kazi za ujenzi wa taifa pande zote mbili zijahusisha data zake by the way hayo ni maoni yangu na wewe pia una uhuru wa kuweka maoni yako na kuandika(kuwasilisha) unavyohisi ni sahihi.
so tunakubaliana kwenye mapenzii mmetuzidi.kwenye caring na makila kitu mengineThanks boss tukipenda ni kweli tunapenda with all our heart
Mkuu Mndengereko ktk mpira Mimi hapo umenipata kabisa!