Unakipaji gani?

Mi sijuwi nna kipaji au sina make mi huwa napiga winga Ilala maduka ya Spea
 
uwezo wa ku process information na kuchanganua mambo!! Mkuu umesoma ulichokiandika?
 
Me nina kipaji cha kuona vitu visivyoonekana kwa macho ya nyama hiki ni kipaji tangu nikiwa mdogo asaivi ndo kinazidi kuimarika yaani wewe hata ujifiche vipi me nakuona raha sana mpaka najiogopa sehemu ya watu wengi naonaga vituko sana
JAH BLESS,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…