Unakipaji gani?

Safi nakujifunza je inaweza kuchukua mda??
 
Still najitafuta aidha kuchora au football ila napenda sana kuimba
 
Kipaji changu ni kuimba lakini pia najua ku-dance
 
aisee, nna kipaji cha drafti, kitu cha gambling (kiwanda) pande za tandale kama Vegas uku silali njaa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…