Unakipaji gani?

mie jaman niwe mkweli..i love dancing..napenda kuserebuka popote pale...kucheza na kuimba😊..sasa kipaji kinakufa huku najiona... !kila mtu ananiulizaga ww unajifunza lini kudance na mm najikuta nashangaa maana sina muda kbs ht wa kucheki tv..ila dah..
 
Hongera sana mimi napenda sana kujua kinanda na kununua pia vipi bei zake?? Na vinanda vizuri ni vipi??
 
Hongera sana mimi napenda sana kujua kinanda na kununua pia vipi bei zake?? Na vinanda vizuri ni vipi??
Kwa mapigo ya kigeto geto wengi wetu tunachukua M audio mid keyboard Tsh 600000 mpka 650000.

Au hata Piano Tyros 400000 pka laki tano ingawa sio kizuri sana......

Kama mkwanja upo kuna Yamaha psr 550 unaweza pata hata kwa Mil 1.3 mpka point 5.

Yani kwa kifupi vipo vingi sana ukiingia mtandaoni utakuta vyote na bei zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…