Unakimbia au unapambania kibunda?

Unakimbia au unapambania kibunda?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,197
Reaction score
14,890
Ghafra bin Vuu! Unakutana na Mamba kaking'ang'ania kibunda mdomoni. Utachukua maamuzi gani?

20240421_113634.jpg
 
Usicheze na mwanadam
Mbona mpaka hapo,hilo
Jambo jepesi sana

Ova
 
  • Thanks
Reactions: rr4
Kwa hali niliyo nayo sasa ivi Nakufa nae huyo kenge nipate dollar hizo potelea a mbali
 
  • Thanks
Reactions: rr4
Sita kimbia, ntakaa nitulie nimsubiri alale nipite nazo
 
Litakufa jitu mbona.
 
Watu wanamfukua marehemu
Na wanamvua vitu vya thamani
Sembuse mamba huyo

Ova
Marehemu ana madhara mwilini hakuna kinachofanya kazi kabaki mzoga tu hauwezi kumfananisha na mamba ambae ukienda kichwa kichwa imekula kwako.
 
Nchi kavu mamba mrembo tu shughuli ni hicho kibunda aingie nacho majini.
 
Back
Top Bottom