unakikumbuka kikosi hiki

unakikumbuka kikosi hiki

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
375630_671738986176595_1193291676_n.jpg
 
Nawakumbuka Ken Mkapa, Nemes, Sure boy, Mkwasa, Mziba........
 
Mogella namuona nimekutana naye leio asbh rafiki yangu sana
 
Hii ni YANGA SC, iliyoshiriki Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati mwaka 1993, KAMPALA UGANDA. Hii picha imepigwa jijini KAMPALA. Kama mdau Gulwa alivyotaja kulikuwa na wafuatao: Steven Nemes, Mohamed Hussein, Edibily Lunyamila, Abubakar Salum 'sure boy', Mwanamtwa Kihwelu, Said Mwamba, golikipa wa akiba, LIFATI SAID. Kocha wa YANGA enzi hizo alikuwa, NZOYISABA TAUZANY. Kihistoria YANGA imechukua ubingwa wa CECAFA mara 5. 1975, 1993, 1999, 2011, 2012, Asante kwa picha nzuri.
 
toka kulia, Mkapa, Nemes, Chinga, Sure Boy, Mwanamtwa, (simkumbuki) Mogella, Lunyamila, Masanja, Gagarino, Method Mogella,Sekilojo Chambua, (simuoni vizuri) Kizota
 
wataje lkwa jinsi walivyojipanga
Hii ni YANGA SC, iliyoshiriki Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati mwaka 1993, KAMPALA UGANDA. Hii picha imepigwa jijini KAMPALA. Kama mdau Gulwa alivyotaja kulikuwa na wafuatao: Steven Nemes, Mohamed Hussein, Edibily Lunyamila, Abubakar Salum 'sure boy', Mwanamtwa Kihwelu, Said Mwamba, golikipa wa akiba, LIFATI SAID. Kocha wa YANGA enzi hizo alikuwa, NZOYISABA TAUZANY. Kihistoria YANGA imechukua ubingwa wa CECAFA mara 5. 1975, 1993, 1999, 2011, 2012, Asante kwa picha nzuri.
 

toka kulia
1-Ken Mkapa
2-Steven Nemes
3-Mohamed Husein (chinga one)
4-Abubakar Salum (sure boy one)
5-Mtwa Kihwelu
6-Issa Othuman
7-Zamoyoni Mogela (golden ball) DHL
8-Edibili Lunyamila
9-Steven Mussa
10-Hamis Gaga (gagalinho)
11-Methiod Mogella
12-Willy Mtendamema
13-
14-Said Mwamba (Kizota)
15-Rifat Said
 
Back
Top Bottom