Unakijua Chama Cha KADIMA?

Wewe inaelekea hujasikiliza majadiliano ila uko hapa kutetea ajira yako tu.

Endelea kumlea mtoto wa Josephine mpaka mwenyewe atakaporudi kutoka mapumzikoni Marekani.

Ulidhani ulisikiliza peke yako?Hiyo mipasho mingine sitakujibu.Tujadili huu Uongo wako!
 
KADIMA ni Chama cha siasa nchini Israel.

Mahojiano ya leo umesumbuliwa na accent kwa kuwa hujazoea kusikia pronounciation kutoka accent mbalimbali.Ushamba unakusumbua.Unahitaji Exposure.!

Kwa hiyo kwa accent ya kimarekani Chadema ni KADIMA? Akija Mr. Smith kutoka Marekani muite Simithi uone kama atakubali kuwa accent ya kiswahili ndio jina lake hilo. kama wewe unajitajidi kutamka Smith mmarekani anapaswa kujitahidi kutamka Chadema.

Kushindwa kutamko Chadema ni ishara kuwa mtangazaji just didnt care about what he says. Usidanganyike kuwa wamarekani hawawezi kusema Chadema.
 
KADIMA (kachama ka demokrasia na maendeleo) KDM sounds good ukilinganisha na CDM ambayo ni copy ya CCM ukiondoa D
 
Kadima=chadema
Africaone=africa now
Alafu wamarekani wanachukia mtu akikosea jina???????mbna sielewi hapa!!mleta mada ebu jifkilie kabla ya kuleta mada hapa.


Hapo lilikuwa ni jukumu la Slaa kumrekebisha mtangazaji. Lakini Slaa kama alivyo kijana wake ben Snaanane anaamini kuwa ulimi wa mmarekani una haki ya kuamua kuyataja majina ya watu na vitu unavyotaka kwa hiyo Slaa akaridhika kuwa KADIMA ndio Chadema kwa accent ya kimarekani. hahahahahahahhahaha
 
Kadima=chadema
Africaone=africa now
Alafu wamarekani wanachukia mtu akikosea jina???????mbna sielewi hapa!!mleta mada ebu jifkilie kabla ya kuleta mada hapa.

Usipoelewa omba ueleweshwe.

Ni kwamba, Dr. Slaa alikuwa anasahau kila mara jina la kipindi badala ya kutamka AfricaNow yeye anasema AfricaOne. Na hii inatokana na uzee wake.

Umeelewa?
 
Umemsikia katibu mkuu wa KADIMA?

Anayetamka hivyo si Dr. Slaa ni mtangazaji kwa lafidhi yake masikio yako yanayowaza kivyake. Msikilize mtanzangazaji anatamka "Chama cha Demokrasia na maendeleo"
 

ulivyo kilaza kama mtangazaji mwenyewe alishindwa kutaja jina chadema iweje akasirike kwa dr.slaa kukosea jina la kipondi
 

Unahitaji exposure na lugha ya kiingereza ni tatizo kubwa kwako.
 
Anayetamka hivyo si Dr. Slaa ni mtangazaji kwa lafidhi yake masikio yako yanayowaza kivyake. Msikilize mtanzangazaji anatamka "Chama cha Demokrasia na maendeleo"

Slaa ameshindwa kuiuza Chadema leo. Mmarekani aliyesikiliza mahojiano akiulizwa Chama kikuu cha upinzani Tanzania kinaitwaje atatoa jibu ambalo sio sahihi!!!
 
Anayetamka hivyo si Dr. Slaa ni mtangazaji kwa lafidhi yake masikio yako yanayowaza kivyake. Msikilize mtanzangazaji anatamka "Chama cha Demokrasia na maendeleo"

Precisely my point,Sir!
 

Nimeona una tatizo la kuelewa accent kutokana kukosa exposure + Ignorance yako katika English.
 

ili lijamaa lipo kama le mutuz ni lenyewe nini? HA HA HA HA1 HA1 NIMEPATA STORY AMEAJIRIWA KWA KAZI YA KUPAMBANA MTANDAONI NA VIJANA KADHAA MUDA SI MREFU NITALETA HABARI KUWAHUSU MAEASILIANO YAO NA MIPANGO YAO YA KUPAMBANA KWENYE MTANDAO NA CDM HASA KUMSHAMBULIA DR SLAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…