Unakijua Chama Cha KADIMA?

Si ambao hatukusikiliza Interview asingekuja Mzee Mwanakijiji na ile recorded kwa kweli ZeMarcopolo angetudanganya vya kutosha,du ila tumeshajua nini Dr Slaa aliongea ila ZeMarcopolo aendelee tu kujitekenya na kucheka mwenyewe no need kupoteza muda
 
Paranoia mzuri sana.umeshindwa kuweka data.unakimbilia kutukana .nasema hapa ni sehemu ya watu wenye akili na sio umeshindwa kuongea ukweli na kimbilia kutukana.hii ndio akili ya ccm chama cha matusi.sishangai kwani pale kwenye chuo chenu kikuu pale magongoni ,kinatoa wahitimu wenye shahada za juu katika major za ombaomba,na kutukana.na wewe ni kati ya watu waliofuzu katika major ya kutukana.na ndivyo utakavyowafundisha watoto wako hapo nyumbani kwako wakutukane wewe vizuri tu.na mimi nakubaliana na wewe kuwa una akili sana kwa kukimbia kutetea hoja na kukimbilia kutukana.naandika haya maneno ili mkuu wako aliyekupa laptop na air time za bure ajue kuwa wewe anakupa mshahara wa bure .na namwomba akutoe kwani umeshindwa kutetea hoja yako ya propaganda.njoo na tusi jingine nakusubiri
 
uwiii nimeamini awa vijana waliogawiwa simu na January kwa kiingereza ni janga,muwe mnafanya utafiti kabla ya kuingia garama ya kununua simu zote izo kwa mamilion na kuwapa akina maimuna. Naomna vijana msikilize vizuri na dic mbona ziko mpaka kwenye simu Mwanakijiji kawawekea umu , LO ...... ama kweli aya majanga
 
Paranoia...
Mkuu umesikia mtoto wa kigogo kajeruhi binti kwa kumjeruhi vibaya sana sehemu za siri kwa vitu vyenye ncha kali? Lakini yupo anadunda na matusi juu? Tena anahusiana na huyo balozi?
 
Kiingereza ni tatizo, hii ni sababu Kikwete hupata kigugumizi, na kukataa na kuweka Mpira kwapani
 
Mkuu umesikia mtoto wa kigogo kajeruhi binti kwa kumjeruhi vibaya sana sehemu za siri kwa vitu vyenye ncha kali? Lakini yupo anadunda na matusi juu? Tena anahusiana na huyo balozi?

Sasa mkuu,

Hii inahusiana vipi na KADIMA?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…