Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,999
have you considered your security? I'm sure some people don't like the idea and you may well get into a hit list!
MMJ,Hi there will be a meeting on 11/12/2010 in Dar at KIMARA RESORT CLUB, which will tackle on political issues, constitutional issues, communal issues and civic and human rights issues. Hence, this meeting wiil begin at 2.00p.m. in the afternoon. For details if you need to attend contact Abraham Mwambuja on TELNO:-+255-656-382537.
NB: Tafadhali usijiendee tu bila kuwasiliana na huyu ndugu ili angalau kujua uwezo wa mahali penyewe. Ni vizuri kuhakikishia unatoa taarifa kama utahuhudhuria ifikapo Jumatano ili ionekana haja ya kufanyia hapo au kuhamisha kama idadi ya watu itakuwa ni wengi kuliko. MM
Yes, by then hard copies za petition zitakuwa ready. Ila watu wanaweza kuendelea kusaini online petition inayopatikana hapa: TUNAHIHITAJI KATIBA MPYA PetitionGood on you..... Please Sign petition ya katiba while you are there....... Am sure BongoTZ atakuwa ameshatengeneza zile hard copies ya Petition za katiba
muda si mrefu tutaanza kusikia waraka maalum toka kanisani na misikitini kuhusu katiba!!!!!! Na hapo ndio mwanzo wa ngoma!!!