Unakaribishwa mkutano wa kwanza wa wananchi juu ya Katiba; Kimara Resort- 11/12/2010

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,462
39,929
Hi there will be a meeting on 11/12/2010 in Dar at KIMARA RESORT CLUB, which will tackle on political issues, constitutional issues, communal issues and civic and human rights issues. Hence, this meeting wiil begin at 2.00p.m. in the afternoon. For details if you need to attend contact Abraham Mwambuja on TELNO:-+255-656-382537.


NB: Tafadhali usijiendee tu bila kuwasiliana na huyu ndugu ili angalau kujua uwezo wa mahali penyewe. Ni vizuri kuhakikishia unatoa taarifa kama utahuhudhuria ifikapo Jumatano ili ionekana haja ya kufanyia hapo au kuhamisha kama idadi ya watu itakuwa ni wengi kuliko.

Mkutano huu umeandaliwa na hao jamaa hapo juu; na maelezo yote na ajenda n.k ni juu yao. Mimi nimewaletea ujumbe tu maana watu wengine wameanza kuniuliza kama ndio nimeuandaa au vipi. MM
 
Good on you..... Please Sign petition ya katiba while you are there....... Am sure BongoTZ atakuwa ameshatengeneza zile hard copies ya Petition za katiba
 
the song is getting hot,most of Tanzanians will start to dance
 
Mzee Mwanakijiji, sijui nikupongezeje huko katika hili??

Naona sasa wanaharakati tunaanza kuteremka taratibu katika hali ya uhalisia kuanza kusaka Tume Huru ya Uchaguzi na KATIBA MPYA kabla ya 2015. Kama alivyohimiza mwenzetu twenzetuni mkutanoni Kimara, kuondokane na mambo ya kujadili mambo kinadharia tu hapa mtandaoni.
 
Binafsi naamini ingekuwa vizuri mikoani pia watu waanze initiatives za kuzungumzia katiba yao; in a very non-partisan way. Tayari Mbeya mjini nako wanaandaa mijadala hii.
 
have you considered your security? I'm sure some people don't like the idea and you may well get into a hit list!
 
have you considered your security? I'm sure some people don't like the idea and you may well get into a hit list!

What about you? What is your stand? Are you among the people who do not like the idea? Wy scaring others? Can you be a frontliner with this type of comments? If Nyerere had this kind of thinking we would'nt be independent today.
 
Mzee Mwanakijiji,tupo pamoja. Kama kuna change of venue tuelezwe pia!
 
muda si mrefu tutaanza kusikia waraka maalum toka kanisani na misikitini kuhusu katiba!!!!!! Na hapo ndio mwanzo wa ngoma!!!
 
watanzania weengi hawaijui katiba na wala maandishi yake yameandikwa kwa wino wa rangi gani...

Ila mi naona kama tungeipenyeza mittani ili watu waijue na kisha mijadala ikianza na kama tukisema tuamshe maandamani basi wazalendo wa kuandamana wapo na watakuwa wanakielewa kile kinachowapelekea wao kuandamana.

Kama hiyo haiwezekani basi tuandae vipeperushi vitakavyoeleza mapungufu ya katiba ili viweze kuwafikia raia na wao waweze kuelewa somo husika.

Wabillah Tawfiq Asalaam aleikhum
 
Hi there will be a meeting on 11/12/2010 in Dar at KIMARA RESORT CLUB, which will tackle on political issues, constitutional issues, communal issues and civic and human rights issues. Hence, this meeting wiil begin at 2.00p.m. in the afternoon. For details if you need to attend contact Abraham Mwambuja on TELNO:-+255-656-382537.


NB: Tafadhali usijiendee tu bila kuwasiliana na huyu ndugu ili angalau kujua uwezo wa mahali penyewe. Ni vizuri kuhakikishia unatoa taarifa kama utahuhudhuria ifikapo Jumatano ili ionekana haja ya kufanyia hapo au kuhamisha kama idadi ya watu itakuwa ni wengi kuliko. MM
MMJ,

Tafadhalini waambie wenye nchi (polisi) kuwa huo siyo mkutano wa siasa - otherwise kuna virungu vitatembea hapo hapo-----------
 
muda si mrefu tutaanza kusikia waraka maalum toka kanisani na misikitini kuhusu katiba!!!!!! Na hapo ndio mwanzo wa ngoma!!!


Makanisani na misikitini na kwenye Masinagogi wanaofanya ibada humo ni WATANZANIA. Nadhani wana haki ya kuijadili katiba mpya na kutoa maoni yao kama ilivyo kwa Watanzania wengine. Mjadala juu ya katiba mpyaa utakuwa ni wenye afya kama utahusisha raia wote wakiwa mmoja mmoja, katika vikundi na jumuia mbalimbali. Kwa makanisa au misikiti WARAKA au MWONGOZO juu ya katiba mpyaa ni muhimu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom