Unajuwa Tunda La Parachichi Lilipoanzia?Sio Kwa Mchaga wala Mhaya

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850
Parachichi ni tunda lenye mbegu moja na virutubisho vingi sana. Hujulikana kama avocado kwa Kingereza, na hulimwa sehemu mbalimbali duniani. Kiasili mapachichi yalianza kulimwa nchini Mexico na Amerika ya Kusini, na baadae kusambaa sehemu zingine duniani ikiwemo Tanzania.
Wanyakyusa,wahaya na wachaga walidhani hili tunda lilianzia kwao ndio likasambaa Tanga n.k.Hapana
 
Mbona umeishia njiani? Huo mti hakuna mche mpya Afrika kutoka nje ya bara hili sana sana hao wajinga wajinga ndio walichukua mbegu huku sababu kuna hali zote za hewa za Dunia.
 
Parachichi ni tunda lenye mbegu moja na virutubisho vingi sana. Hujulikana kama avocado kwa Kingereza, na hulimwa sehemu mbalimbali duniani. Kiasili mapachichi yalianza kulimwa nchini Mexico na Amerika ya Kusini, na baadae kusambaa sehemu zingine duniani ikiwemo Tanzania.
Wanyakyusa,wahaya na wachaga walidhani hili tunda lilianzia kwao ndio likasambaa Tanga n.k.Hapana
Kwelii? Yaani hata ile miparachichi ya kienyeji kule kwa bibi nimeikuta ipo tangu enzi na enzi na nasikia ilikuwepo kabla ya ukoloni ni nani aliileta kutoka Mexico? I doubt.
 
Nani aliileta toka Mexico. Rombo huku kuna miparachichi ina umri wa hii nchi.
 
Inawezekana ikawa Coincidence tunda moja kuwa mabara mawili tofauti kwa wakati mmoja.
 
Nyie ni sawa na wale wazungu waliita jina la malikia Lake Victoria na kusema wao wamegundua kwani wakelewe na wajita walikuwa hawalioni au Wachaga na mlima kilimanjaro au Mount Livingston wanyakyusa walikuwa hawauoni huo mlima. Hio miparachichi hapa Tanzania ipo karne kibao hapa kabla hao maajenti wa kikoloni hawajatia moguu yao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom